KANSA YA TITI
(BREAST CANCER)
Nafurahi sana siku ya
leo pia umeamua kuungana nami katika makala zangu za afya ambazo zimekuwa
zikipendwa sana na wasomaji wangu kutoka mikoa mbali mbali hapa Tanzania.
Hii yote ni kutokana na kuandika makala zenye kutoa elimu sahihi na yenye suluhisho kuhusu magonjwa sugu yanasemekana kuwa hayawezi kutibika.
Hii yote ni kutokana na kuandika makala zenye kutoa elimu sahihi na yenye suluhisho kuhusu magonjwa sugu yanasemekana kuwa hayawezi kutibika.
.
Unaweza ukaungana nami katika makala zangu mbali mbali zilizopita moja kwa moja kwenye blog yangu ya afya kwa kubofya http://www.healthconsultanttz.blogspot.com/ utajifunza mengi sana.
Lakini pia kama upo facebook like page yangu ya afya;
https://www.facebook.com/pages/Godrich-Health-Centre/650707954940391
Baada ya kuungana nami katika majukwaa yangu ya habari na elimu ya afya basi leo nakukaribisha ktk jukwaa la afya ya mwanamke ambapo leo tutaongelea kuhusu KANSA YA TITI(BREAST CANCER)

YAFUATAYO NITAYAGUSA
KWA KINA.
Nini maana ya breast
cancer.
Kuna utofauti gani ya kansa ya titi na uvimbe wa kawaida tu kwenye titi ambao sio kansa.
��Visababishi vya kansa ya titi.
��Vihatarishi vya kansa ya titi
��Kusambaa kwa kansa ya titi
��Namna ya kubaini kansa ya titi
��Namna ya kutibu kansa ya titi
��Namna ya KUISHI NA MTU MWENYE UGONJWA HUU.
��Tafiti zinasema nini kuhusu ugonjwa huu ambao sasa ni tishie sana.

Nakukaribisha sana ktk
jukwaa hili la
KANSA YA TITI NI NINI?
Huu ni uvimbe ambao unatokea kwenye titi ambao huathiri ukuaji wa seli zinazounda titi na kusababisha zikue kwa kasi kubwa isivyo kawaida.
Seli hizi hutokea ambazo huathiriwa ktk ukuaji hupatikana sehemu zifuatazo:
~Kwenye tezi za titi
(Lobular carcinoma)
~kwenye mirija ya maziwa (tubular carcinoma)
~Kwenye chuchu ya titi
(Pagets disease of the nipple)
(Lobular carcinoma)
~kwenye mirija ya maziwa (tubular carcinoma)
~Kwenye chuchu ya titi
(Pagets disease of the nipple)
Hizo ni sehemu kuu
tatu ambazo seli za titi huathirika na kuwa seli za kansa.
Hivyo basi kwa ujumla
unaweza kusema kuwa kuna aina kuu tatu za kansa za titi kama nilivyo changanua
hapo juu msomaji.
UTOFAUTI KATI YA KANSA
YA TITI NA UVIMBE WA KAWAIDA KWENYE TITI.
~Uvimbe ambao ni kansa
ukuaji wake ni wa kasi sana ukilinganisha na uvimbe wa kawaida.
Mfano:Anaweza kuja rafiki yako anakueleza huu uvimbe upo hapo tangu miaka 5 iliyopita huwa unaongezeka lkn kidogo mno. Hapo utajua sio kansa ni uvimbe wa kawaida tu.
Lakini pia rafiki yako anaweza kuja anakueleza nina uvimbe hapa akifunua unakuta titi limevimba sana na limekuwa kubwa ukimuuliza tangu lini huu uvimbe mbona unatisha...atakwambia umenianza miezi kumi tu uliopita ila linakuwa kwa kasi sana.

Huo uvimbe lazima
ufikirie kuwa ni kansa labda uhakikishwe
kwa vipimo vya maabara.
~Pia sio kila mtu
anaye lalamika titi limevimba ni cancer sio ukweli.
Inaweza kuwa amepata maambukizi ya bakteria tu na kusababisha kuvimba kwa titi tunaita mastitis. Au inaweza kuwa ana jibu kwenye titi (breast abscess)
Inaweza kuwa amepata maambukizi ya bakteria tu na kusababisha kuvimba kwa titi tunaita mastitis. Au inaweza kuwa ana jibu kwenye titi (breast abscess)
Hivyo haya yote
unatakiwa uhakikishe mgonjwa wako hana ili kuhakikisha kuwa yale unayofikilia
kuwa ni kansa ya titi kuwe na ukweli ndani yake.
Pia unatakiwa kumuuliza chanzo cha titi kukua au kuvimba kiasi hicho inaweza kuwa kuna ugomvi ulitokea ikapelekea mtu kupigwa na kuumizwa.
Hivyo usifikirie mbali tu kwamba kila uvimbe sasa unawaza huyu mtu ana kansa.

~Pia uvimbe wa
kansa ukuaji wake ni kasi sana hata ukimuuliza mgonjwa atakusimulia historia
fupi ya ugonjwa ukilinganisha na uvimbe mwingine ambao sio kansa.
Nimekuwa nikasema haya
katika makala zangu na wasomaji wangu wengi huniuliza sasa nitajuaje kuwa
uvimbe huu ni kansa na sio kansa bila vipimo?
Napenda nikwambie kuwa
leo basi ukizingatie elimu hii unaweza ukawa tabibu mzuri wa familia yako
kupitia elimu hii
Pia uvimbe ambao ni kansa mwanzoni huwa hauna maumivu kabisa lakini ukisha fika hatua mbaya utakuwa na maumivu makali sana.
Sasa nasema haya kwa sababu ukitaka kujua hii sio kansa mwanzo ni KUTUMIA DALILI YA MAUMIVU.

Unakuta titi linauma
na limeng'aa hapo moja kwa moja utajua kuwa inaweza kuwa ana maambukizi tu yani
mastitis au ana jipu kwenye titi breast abscess.
Hivyo basi kwa hatua za mwanzo uvimbe wa kansa huwa hauna maumivu yoyote mpendwa msomaji wangu. Na ukikuta unapata dalili zenye maumivu makali na una kauvimbe na ni siku chache tu kametokea usianze kuhangaika na kupatwa na msongo wa mawazo kuwa una uvimbe kama KANSA.

VISABABISHI VYA KANSA
YA TITI.
Mpendwa napenda
nikwambie kuwa hadi sasa ninavyo andika hii makala bado kisabanishi mahususi
cha kansa ya titi hakijulikani kabisa ni nini!!!!
Hivyo basi kutokana na hayo napenda nikupe makundi ya watu ambao wapo hatarini kupata kansa ya titi hapa duniani.
Hivyo basi kutokana na hayo napenda nikupe makundi ya watu ambao wapo hatarini kupata kansa ya titi hapa duniani.
~Mwanamke yupo
hatarini kuzidi mwanaume
~Mwanamke yeyote ambaye yupo kwenye umri wa kubalehe hadi kikomo cha hedhi.
~Wanawake wazungu wapo hatarini kuzidi africa(lakini mwanamke wa kiafrica wako hatarini kupata kifo cha kansa ya titi kuliko wazungu)
~Mwanamke ambaye aliwahi sana kuingia kwenye kubalehe.
~Mwanamke ambaye amechelewa kufikia kikomo cha hedhi
~Mwanamke mwenye UZITO MKUBWA KUPITA KIASI
~Mwanamke anayependelea kula vyakula vya mafuta mabaya....bad cholesterals(mafuta yatokanayo na nyama)
~Wenye magonjwa km HIV,KISUKARI ambayo hushusha kinga ya mwili.
~Kuchelewa kupata mtoto na kutokupata mtoto kabisa
~Nchi zilizo endelea zipo hatarini sana kupata aina hii ya kansa kuliko nchi zinazo endelea kama Tanzania.
~kurithi kama kuna mtu katika ukoo wenu ana aina hii ya kansa unaweza kupata chembe chembe za urithi ya kansa hii ambavyo ni BRCA1 na BRCA 2.
~Kuwa na VICHOCHEO VYA ESTROGEN VINGI NDANI YA MWILI WAKO KWA MUDA MREFU.

~Ulaji wa vyakula vya
viwandani hasa vyenye sukari nyingi, rangi na vilivyowekewa ladha na
kusindikwa.
Hivyo ni baadhi ya VITU HATARISHI VINAVYOWEZA KUKUSABABISHIA KUPATA KANSA YA TITI.
Hivyo ni baadhi ya VITU HATARISHI VINAVYOWEZA KUKUSABABISHIA KUPATA KANSA YA TITI.
NOTE: Ndugu msomaji
hivyo hapo juu sio visababishi ni VIHATARISHI VYA WEWE KUPATA AINA HII YA
KANSA.
Hivyo basi endelea
kujua kuwa kuepuka aina hii ya kansa ni kuviepuka hivyo visababishi.
KUSAMBAA KWA KANSA YA
TITI.
Ndugu mpendwa ninapo
ongelea kusambaa kwa kansa ya titi nitakuwa mchoyo sana wa elimu kam
nisipokuambia namna gani kwanza unaweza kuzuia kansa yako isifikie hapa.
~TUNAKUSHAURI UPATE KIPIMO TUNAKIITA MAMMOGRAPHY ambacho ni SCREENING TEST.
~TUNAKUSHAURI UPATE KIPIMO TUNAKIITA MAMMOGRAPHY ambacho ni SCREENING TEST.
Lugha nyepesi ya neno
screening ni kitendo cha kubaini ugonjwa kutoka kwa watu wazima.
Mfano:Unaweza ukawakusanya watu mia moja wamejipanga ukaanza kuwafanyia hicho kipimo..miongoni mwao watabainika na kansa ya titi hatua ya mwanzo lakini walikuwa hawajijui kuwa ni wahangwa wa huu ugonjwa.
Hivyo kitendo cha kubaini watu wagonjwa kutoka kwenye watu wazima ambao hawana dalili zozote tunaita screening.

Sasa kuna kifaa
ambacho hutumika kubaini wagonjwa wa kansa ya titi katika hatua za mwanzo
kabisa ambapo inaweza kutibika kutoka kwa watu wazima tunaita ni MAMMOGRAPHY
(PICHA YA TITI.) Hiki kipimo kinatumika kubaini uvimbe wa hatua za mwanzo
kabisa hivyo kwa teknolojia yetu ndicho ambacho tunatumia.
Nakushauri ujijengee tabia ya kucheki afya yako ya titi kila mwaka ili kujiepusha na matatizo haya.
Nakushauri ujijengee tabia ya kucheki afya yako ya titi kila mwaka ili kujiepusha na matatizo haya.
INGAWAJE!!!
Hadi sasa wenzetu wenye technolojia za juu katika tiba bado wamefikia kusema kuwa kipimo hiki hakina msaada sana tofauti na KUBADILI MWENENDO WA MAISHA.
Maana hata km ukipimwa ukikutwa na kansa hakuna kitakacho fuatia tofauti na kuhangaika kuitibu na usipofanikiwa basi.
Hivyo kikubwa ni KUBADILI MWENENDO WETU KUYAEPUKA YALE NILIYO YATAJA RAFIKI.

Sasa endapo ukachelewa
kubaini uvimbe huu unaweza kusababisha kusambaa sehemu mbali mbali kam
kifuani,kwenye ubongo,kwenye mifupa nk.
Hivyo tujitahidi
KUCHEKI AFYA ZETU KILA MWAKA KUBAINI UVIMBE HUU HATARI MAPEMA UKIWA HATUA ZA
MWANZO
DALILI ZA KANSA YA
TITI.
~Uvimbe wowote ule
kwenye titi hakikisha unautilia maanani kujua ukweli wake
~Kutokwa na maziwa, usaha na damu au damu imechanganyika na usaha.
~Titi kubalika rangi linakuwa linang'aa na kupoteza vinyweleo
~Pia titi linaweza kubadirika na kuwa jiusi sana
~Kupata maumivu makali km imefikia hatua mbaya.

DALILI ZINAZO ONESHA
KANSA IMEANZA KUSAMBAA HATUA MAHUSUSI ZICHUKULIWE
~Kukohoa sana na
upumuaji wa shida.
(Inaonesha kansa imesambaa kifuani kwenye mapafu)
(Inaonesha kansa imesambaa kifuani kwenye mapafu)
~Mifupa kudhoofika na
kuuma.
~Kupata matitizo ya ubongo (kupoteza fahamu, kiharusi nk)
~Kuvimba kwa tezi za mfumo wa kinga za mwili..kwapani na sehemu zingine
Hizo ni dalili ambazo
zinaonesha kansa imesambaa kwenye mapafu,mifupa na ubongo.
NOTE: UNAPOSEMA KANSA IMESAMBAA LAZIMA KUWEPO NA UVIMBE UNAONESHA KUWA MTU ANA KANSA YA TITI (CHANZO) NDIPO TUNAWEZA KUSEMA IMESAMBAA

NJIA ZA KUBAINI
UGONJWA HUU WA KANSA YA TITI.
Ndugu msomaji napenda
basi niguse kidogo njia ambazo unaweza kuzichukua ili kuubaini ugonjwa huu wa
kansa ya titi.
Zifuatazo ni hatua kwa
hatua ambazo unaweza KUZITUMIA RAFIKI YANGU.
~Hakikisha unapata
historia nzuri ya ugonjwa wako, ili kuweza kutofautisha na uvimbe mwingine wa
kawaida.
~Hakikisha unajichunguza wewe mwenyewe vizuri.
Unaweza kumwomba mtu akuchunguze kwa kufuata hatua hizi kuu mbili:
~Hakikisha unajichunguza wewe mwenyewe vizuri.
Unaweza kumwomba mtu akuchunguze kwa kufuata hatua hizi kuu mbili:
��Lala kitandani chali, kisha mwambie rafiki
yako atumie mkono wake wa kulia kupapasa juu,juu na kisha kuingia mpaka
ndani.,Pia ajaribu kuchezesha titi km linacheza vizuri (free or movable at the
base) hapo utakuwa upo vizuri, pia km hakuna aina yoyote ta uvimbe alio ubaini.
DALILI MBAYA
~Kubaini kauvimbe kokote kwenye titi
~Titi halitembei kwenye kitako.
DALILI MBAYA
~Kubaini kauvimbe kokote kwenye titi
~Titi halitembei kwenye kitako.
NJIA YA PILI
Kaa kwenye kiti au
kitanda kisha nyanyua mikono juu kisha mwambie rafiki yako akuchunguze, vitu
hatarishi ni hivi:
~KUONA DIMPO KWENYE
TITI
~CHUCHU PIA UNAKUTA ZIMEINGIA NDANI(NIPPLE RETRACTION )
Hizo ni dalili mbaya kwa mchunguzi atakapo toa taarifa..
~CHUCHU PIA UNAKUTA ZIMEINGIA NDANI(NIPPLE RETRACTION )
Hizo ni dalili mbaya kwa mchunguzi atakapo toa taarifa..
Basi njia zingine za
KUBAINI KANSA YA TITI HATUA AMBAZO NI MBAYA NI KUTUMIA PICHA YA TITI.
KAMA ULTRASOUND YA TITI WANAWEZA KUBAINI KM NI UVIMBE AU KUNA VINGINE NDANI YAKE.
KAMA ULTRASOUND YA TITI WANAWEZA KUBAINI KM NI UVIMBE AU KUNA VINGINE NDANI YAKE.
PIA MAABARA UNAWEZA
KUCHUKUA SAMPULI KUTOKA KWENYE UVIMBE ULE, SAMPULI INAWEZA KUCHUKULIWA KWA
KUTUMIA SINDANO BILA GANZI (Hufanyika wodini tu ) au kwa kuchukua kipande cha
NYAMA kuoeleka maabara (Hufanyika kwenye chumba cha upasuaji kwa kutumia
usingizi mzito).
Ndugu msomaji napenda
kukuambia kuwa ugonjwa huu ni mpana sana na hadi sasa visababishi vyake
havijulikani bali vihatarishi ndio vingi...lakini una nafasi vya kuviepuka
kabisa
KIPIMO AMBACHO
UNAWEZA KUPIMA KANSA IMEFIKIA PABAYA.
Kuna vipimo vya aina
mbali mbali au naweza kusema ni vigezo ambavyo jopo la wana sayansi walikaa na
kukubaliana kwa pamoja ili duniani kote vigezo hivyo vikitamkwa vitambulike na
kila mtaalamu wa afya.
Sasa rafiki yangu usije ukasema niliambiwa bali ujue kuwa haya ni makubaliano ya wanasayansi duniani kote.
leo nataka nikufundishe kigezo kimoja CHEPESI KABISA.
Sasa rafiki yangu usije ukasema niliambiwa bali ujue kuwa haya ni makubaliano ya wanasayansi duniani kote.
leo nataka nikufundishe kigezo kimoja CHEPESI KABISA.
Hiki ni kigezo ambacho
kinapima jinsi gani kansa imefikia katika mwili wako rafiki.
Ambapo sasa
inachunguza vigezo 3.
1.Ukubwa wa UVIMBE
KATIKA TITI
2. TEZI ZILIZOFIKIWA
NA KANSA.
3. KUSAMBAA KWA KANSA.
MCHANGANUO HUU UNAITWA KITAALAMU TMN CLASSIFICATION
3. KUSAMBAA KWA KANSA.
MCHANGANUO HUU UNAITWA KITAALAMU TMN CLASSIFICATION
T~Tumor (uvimbe)
N~Lymph nodes(Tezi)
M~Metastasis(kusambaa kwa seli kansa )
N~Lymph nodes(Tezi)
M~Metastasis(kusambaa kwa seli kansa )
1. UKUBWA WA UVIMBE
Ukubwa wa uvimbe
umechanganuliwa nao kwa kutumia vigezo vyake rafiki km ifuatavyo
T0~Huyu hana uvimbe
kabisa kwenye titi hata kwa kutumia kile kifaa cha screening.
Tx~Huyu ana uvimbe
lakini tunashindwa kuufikia kwenye titi
T1-Huyu ana uvimbe ambao ni chini ya sm 2
T2-Huyu ana uvimbe ambao ni kati ya sm 2-sm 5
T1-Huyu ana uvimbe ambao ni chini ya sm 2
T2-Huyu ana uvimbe ambao ni kati ya sm 2-sm 5
T3-Huyu ana uvimbe
ambao ni zaidi ya sm 5
T4- huyu ana uvimbe ambao ni mkubwa mno umeanza kuvamia hadi misuli ya kifuani.
T4- huyu ana uvimbe ambao ni mkubwa mno umeanza kuvamia hadi misuli ya kifuani.
2. TEZI
Basi tunapenda kujua
pia kama kansa hii ya titi imeanza kusambaa au laa.
Tunaweza kubaini hii hali kwa kuchunguza kuvimba kwa tezi za kwapani.
Tunaweza kubaini hii hali kwa kuchunguza kuvimba kwa tezi za kwapani.
Napo kuna mchanganuo
wake na una maana yake wapendwa
N0- Hakuna kabisa tezi
hizi hazifikiwa
Nx- tezi hizi zimefikiwa lakini hazijakua
N1- Tezi za upande mmoja wa titi husika zimefikiwa na zipo zinacheza ukizigusa
N2: Tezi za upande mmoja zimefikiwa na hazichezi
N3 - TEZI ZA UPANDE WOTE WA TITI KWAPANI ZIMEFIKIWA.

Basi naomba nihamie
kwingine.
3. KUSAMBAA KWA KANSA.
Hapa tunatumia
michanganuo miwili tu.
M0: Kansa haijasambaa
M1: Kansa imesambaa kwenda labda kwenye mapafu,ubongo,mifupank
M1: Kansa imesambaa kwenda labda kwenye mapafu,ubongo,mifupank
DHUMUNI LA KUJUA
MCHANGANUO HUO NI KM IFUATAVYO
~Unatuwezesha kujua
hatua ya ugonjwa ulipo fikia
~Unatuwezesha kujua namna gani huyu mgonjwa tumtibu.
~Unatuwezesha kujua namna gani huyu mgonjwa tumtibu.
MFANO:
~MTU KAPIMWA KAAMBIWA
ANA MAJIBU HAYA
T0N0M0
Maana yake huyu yupo poa kabisa
Maana yake huyu yupo poa kabisa
T1N0M0
Maana yake huyu ana
uvimbe upo chini ya sm 2 lakini tezi hazifikiwa na kansa haijasambaa.
Nadhani mpendwa
msomaji UNAWEZA KUWA UMEPATA PICHA NAAMANISHA NINI KUHUSU KUJUA MCHANGANUO
HUU...NILITAKA KUKUPA PICHA WANAPOSEMA KUWA KANSA STAGE 1,2,3,4 HUWA WANA
MAANISHA NINI KWA UJUMLA NA HUWA WANACHUNGUZA VIGEZO GANI. NAZANI KUPITIA
MAKALA YANGU HII UMEJIFUNZA KITU RAFIKI.
Kuna aina nyingi sana za kuchanganua kansa pia kuna kuchanganua kwa kutumia majibu ya maabara lakini sitapenda kuzungumzia sana maana picha halisi umepata ndugu yangu.
Kuna aina nyingi sana za kuchanganua kansa pia kuna kuchanganua kwa kutumia majibu ya maabara lakini sitapenda kuzungumzia sana maana picha halisi umepata ndugu yangu.
STAGE 1~~
T1N0MO,T2N0M0
STAGE TWO~ T2N1M0
AU T3N1M0
STAGE TWO~ T2N1M0
AU T3N1M0
STAGE THREE
T3N2MO au T3N2M1
STAGE FOUR
TAYARI KANSA IMESAMBAA NA HAKUBA NAMNA.
TAYARI KANSA IMESAMBAA NA HAKUBA NAMNA.
KIDOGO HAPO JUU
UNATAKIWA UKAE UTULIE MSOMAJI WA MAKALA ZANGU.
LAKINI LENGO PALE
NILITAKA KUKUONESHA VIGEZO VINAVYOTUMIKA KUSEMA HII NI KANSA STAGE FLANI
WANAZINGATIA VIGEZO VITATU KM NILIVYOSEMA HAPO JUU.
MATIBABU;
Kwa ujumla kansa
hutibiwa kwa njia kuu nne kulingana na stage rafiki msomaji.
~Njia ya operation
Kuna operation ndogo ya kuondoa kauvimbe kadogo (lampectomy) au kuna operation kubwa ya kuondoa titi lote (mastectomy)
Kuna operation ndogo ya kuondoa kauvimbe kadogo (lampectomy) au kuna operation kubwa ya kuondoa titi lote (mastectomy)
~Njia ya dawa za kansa
Kama Cyclophosphamide, flurouracil na Methotreaxate.
Kama Cyclophosphamide, flurouracil na Methotreaxate.
Dawa hizi pia hupewa
wagonjwa baada ya operation kumaliza chembe chembe za seli za kansa zilizobaki
~Njia ya mionzi.
Hii ni mionzi mikali ambayo huruhusiwa kugonga moja kwa moja kwenye uvimbe husika na kuua seli za kansa. pia njia hii hupatiwa watu baada ya kupata operation au ambao wapo hatua mbaya ya kansa
Hii ni mionzi mikali ambayo huruhusiwa kugonga moja kwa moja kwenye uvimbe husika na kuua seli za kansa. pia njia hii hupatiwa watu baada ya kupata operation au ambao wapo hatua mbaya ya kansa
~Njia ya mwisho ni
NJIA YA KUTIBU DALILI TU KUKUWEZESHA UISHI ANGALAU MIAKA MICHACHE MBELE
(PALLIATIVE CARE)
Hapa utakuwa unapata dawa za maumivu,utapewa mionzi na dawa za kansa lakini hali ndivyo mbaya.
Hapa utakuwa unapata dawa za maumivu,utapewa mionzi na dawa za kansa lakini hali ndivyo mbaya.
NOTE:
Dawa hizi za kansa
huja na madhara mengi sana
~Kushusha kinga ya
mwili
~Kunyonyoa nywele
~Kumaliza damu
~kumaliza nguvu za kiume
~Kunyonyoa nywele
~Kumaliza damu
~kumaliza nguvu za kiume
Na madhara mengine
mengi hivyo na hizi dawa HUTUMIKA MAISHA YAKO YOTE MAANA DAWA HIZI NDIO UHAI
WAKO.
LAKINI KUTOKANA NA
CHANGAMOTO ZIFUATAZO
~Dawa za kansa ndio
dawa pekee ambazo ni za gharama kuzidi dawa za aina yoyote duniani.
~Dawa za kansa ni dawa
zenye madhara makubwa kuzidi dawa za aina yoyote hapa duniani
Tafiti zinazidi
kuongezewa hadi sasa nchi zinazo endelea zinazidi kushindana na kupunguza kasi
ya kukua kwa makampuni ya kibillionaire yanayo zalisha vidonge vya kansa kwa
kuanza kuzalisha mbadala wake
~BEI RAHISI
~HAZINA MADHARA KWA MTUMIAJI
~ZENYE KUBORESHA KINGA YA MWILI NA SIO KUBOMOA.
~HAZINA MADHARA KWA MTUMIAJI
~ZENYE KUBORESHA KINGA YA MWILI NA SIO KUBOMOA.
Unaweza kupata bidhaa
mbali mbali na ukazisoma kwa kina au kutembelea ktk ofisi zetu utakuja ujifunze
bidhaa mbali mbali za ASILI KUTOKA CHINA NA THAILAND ZINAVYOWEZA KUUA SELI ZA
KANSA BILA MADHARA MAKUBWA KM DAWA ZA KEMIKALI.
BIDHAA HIZI NI KAMA
ZIFUATAZO
~Unga wa ginsenoside
wenye viini vikubwa kama RG3 Na RH3
Vina uwezo mkubwa wa kuangamiza kuangamiza seli za kansa bila kuathiri kinga ya mwili.
Viini hivi vinajulikana kama MFALME WA UVIMBE Baada ya nchi kama chini kutumia kwa muda mrefu sasa mimea hii inapatikana katika mfumo wa vidonge wa kisasa kabisa.
Mbali na kuangamiza seli za kansa pia HUONGEZA KINGA YA MWILI NA KUIMARISHA AFYA.

Pia rafi yangu
tutakupatia vidonge 60 vya uyoga mwekundu maana nimekwambia mwanzo mafuta
mabaya ya cholesteral ni chanzo cha uvimbe huu, mbali na kuondoa cholesteral
uyoga mwekundi unatibu magonjwa mengi mno na kurudisha afya yako na kinga ya
mwili wako ulio dhoofika.
Sitasahau pia KUKUPATIA BIDHAA ADIMU SANA AMBAYO NDIO IMESHIKA NAFSI ZA JUU KABISA KWENYE JUKWAA LA MATABIBU KATIKA KUTUMIA KIINI CHEKUNDU YANI LYCOPENE KATIKA KUZUIA KANSA NA KUTIBU KANSA.
SASA UTAPATA VIDONGE VILIVYO TENGENEZWA KWA KUTUMIA KIINI CHEKUNDU CHA NYANYA HAPA HAPA TANZANIA.

Nitapenda UWE MMOJA YA
WATU WANAOFURAHIA BIDHAA ZETU RAFIKI, KANSA INATIBIKA, WAHI MAPEMA KABLA
HAIJAFIKIA HATUA MBAYA KABISA.
BIDHAA ZETU UNAWEZA
KUTUMIWA MKOA WOWOTE ULIPO RAFIKI HAIHITAJI KUSAFIRI KUFUATILIA TIBA.
DOSE: INATEGEMEA NA HATUA
YA UGONJWA WAKO BAADA YA KUJADILI NA MIMI KUPITIA SIMU/ANA KWA ANA NITAKUPA
MAELEKEZO..KWA MAWASILIANO PIGA/WHATSAPP 0713123995/0653299934.
No comments:
Post a Comment