Pages

Sunday, November 11, 2012

MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME

MATATIZO YA NGUVU ZA KIUME


  • Magonjwa Yanayoambatana Na "Ngiri" Au Maarufu Kama Hernia, Tumbo Kusokota Chini Ya Kitovu Na Kufunga Choo, Na Bawasiri (Haemorhoids);
  • Magonjwa Yanayoambatana Na Msukumo Wa Damu (Cardiovascular);
  •  Magonjwa Yanayoambatana Na Kisukari (Diabetic Complications);
  • Magonjwa Yanayoambatana Na Msongo Wa Akili (Psychological Disorders);
  •  Matatizo Ya Maisha Yenye Msongo Mkali wa mawazo
  • Matatizo Yanayosababishwa Na Ulaji Holela Wa Vyakula Vyenye Kemikali Zinazoshusha "Hamasa" Ya Kujamiiana;
  • Matatizo Yanayosababishwa Na Unywaji Wa Pombe Nyingi Kupita Kiasi;
  •  Matatizo Yanayosababishwa Na Unene Kupita Kiasi (Obesity);
  • Matumizi Mabaya Ya Dawa Za "Kusisimua" Jamii Ya Caffein Na Oxidants Nyingine; Na
  • Mazowea Ya Kujichua!

No comments:

Post a Comment